Popular posts from this blog
CLASS SEVEN TEACHERS
"Dear Class Seven Teachers, A huge congratulations on achieving outstanding results! Your hard work, dedication, and unwavering commitment to your students have truly paid off. You've guided and inspired your students to reach new heights, and the results speak volumes of your exceptional efforts. Thank you for being such incredible educators and role models. Here's to more success in the future. Keep up the fantastic work!.
We are open for admission
GRADUATION CEREMONY CLASS SEVEN 2024 ALL PICTURES. EP1
Nafasi za masomo
ADMISSION 2024
WATOTO WA ANINY NNDUMI NAMAPISHI YA KICHAGA
Back to school
HABARI WAZAZI/WALEZI. HONGERENI SANA KWA MAJUKUMU KWA NAMNA MNAVYOPAMBANA ILI KUHAKIKISHA KWAMBA WATOTO WETU WANALIPIWA ADA NA MALIPO MENGINE KAMA VILE USAFIRI KWA WALE WA KUTWA . MNAKUMBUSHWA KUENDELEA KUTEKELEZA JAMBO HILI HASA KWA SASA TUNAPOELEKEA KUFUNGUA SHULE, KILA MZAZI ANAOMBWA KULIPA ADA KAMA INVOICE YAKE INAVYOELEKEZA KWANI HAMNA MTOTO ATAKAYEPOKELEWA SIKU HIYO BILA SLIP YA ADA KAMALI. UKILIPA ADA TUNAOMBA SIKU YA KUFUNGUA SHULE MLETE MTOTO NA SLIP YAKE KWANI SIKU HIYO MABASI HAYATAENDA RUTI ASUBUHI KAMA ILIVYO KAWAIDA SIKU ZOTE ZA KUFUNGUA SHULE. ASANTENI SANA NA NIWATAKIE UTEKELEZAJI MWEMA.
Comments
Post a Comment